Discussion Forum ni jukwaa la mtandao lililojengwa kwa kutumia Django. Lengo lake ni kuleta watu pamoja kwa ajili ya kushirikiana maarifa, kufanya mijadala ya kielimu na kijamii, na kujenga jumuiya thabiti ya wanaojifunza.
Watumiaji wanaweza kujiunga, kuunda vyumba vya mjadala, kushiriki mijadala ya moja kwa moja, na kudhibiti wasifu wao binafsi.
Muundaji: William
📞 Mawasiliano: 0629712678
Maono:
Maono ya Discussion Forum ni kuleta pamoja developers, wanafunzi, na Watanzania wote kushiriki mijadala inayoinua uwezo wao kwenye sekta ya teknolojia.
Mikakati ya Maendeleo:
- Kuongeza msaada wa AI Chatbot kwa maswali ya haraka.
- Kupanua mijadala hadi kwenye sekta za kitaaluma, biashara na jamii.
- Kuanzisha mijadala ya sauti/video.
- Kuwezesha ushirikiano wa mijadala kupitia mitandao ya kijamii.
- 🔐 Usajili wa Watumiaji – Usajili wa Salama / Ingia kwenye akaunti yako.
- 💬 Vyumba vya Mazungumzo – Unda au jiunge na chumba chochote cha mjadala.
- ⏱️ Mazungumzo ya Papo kwa Papo – Shiriki mazungumzo ya moja kwa moja.
- 🙋♂️ Wasifu wa Watumiaji – Badili na angalia wasifu wa watumiaji.
- 📱 Inayoendana na Simu – Inafanya kazi vizuri kwenye vifaa vyote.
- Tembelea
http://127.0.0.1:8000/
baada ya kufungua server. - Jisajili akaunti au ingia ikiwa tayari una akaunti.
- Tafuta au unda chumba cha mjadala.
- Shiriki maoni, uliza maswali, toa msaada au jibu hoja zilizopo.
- Tembelea Wasifu wa Watumiaji kujifunza zaidi kuhusu wengine.
- Python 3.x
- pip
- Git
- Platform ya Kutafuta nyumba za kupanga, hostel, nyumba za wageni nk => NyumbaChap
- Duka Mtandaoni => Sairis Group
- SuperMarket => 24Security
- E-commerce website => DoxaConnect
- Social Group website => Ebenezeri-Mind-Education
- Duka Mtandaoni => Apex4
git clone https://github.com/Barackwilliam/StudyChat.git
cd Discussion-Forum-Django
pip install virtualenv
virtualenv env
# Wezesha mazingira
source env/bin/activate # Kwa Windows: env\Scripts\activate
pip install -r requirements.txt
python manage.py runserver